Siasa za Mlima Kenya zatikiswa kufuatia kuondolewa kwa Naibu Rais Gachagua

  • | NTV Video
    1,928 views

    Siasa katika mlima Kenya zinazidi kuwa tete huku viongozi wanaounga mkono rais William Ruto wakiwataka wakazi kufanya siasa za amani na utulivu kufuatia kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya