Siasa za Wanamuziki: Kindiki na Gachagua warushiana cheche za maneno

  • | Citizen TV
    3,595 views

    Siasa Za Wanamuziki:

    Kindiki na Gachagua warushiana cheche za maneno

    Gachagua awataka waliokuwa Karen kuomba radhi

    Kindiki asema atahakikisha anawalinda wanamuziki