Siasa zimeendelea kugubika mpango wa makao mbadala

  • | Citizen TV
    148 views

    Waathiriwa wa mafuriko pamoja na viongozi wao kutoka Madogo kaunti ya Tana River, wameshtumu baadhi ya wanasiasa wa eneo hilo kwa kuhujumu mpango wa serikali ya kaunti hiyo ya mradi wa kutoa suluhisho la makazi ya kudumu kwa wathiriwa hao.