Siaya: Kina mama washirikiana na shirika moja lisilo la kiserikali na kufanikisha ufugaji wa samaki

  • | NTV Video
    61 views

    Kama njia moja ya kuinua maisha yao, akina mama wanaoishi katika vijiji vilivyoko ufuoni mwa Ziwa Victoria katika eneo bunge la Bondo, Kaunti ya Siaya, wameshirikiana na shirika moja lisilo la kiserikali na kufanikisha ufugaji wa samaki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya