Siaza za ODM Mombasa I Baadhi ya viongozi wadai kutengwa wakati wa shughuli muhimu za kitaifa

  • | KBC Video
    22 views

    Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM katika kaunti ya Mombasa wameshutumu chama hicho kwa madai ya kuwatenga wakati wa shughuli muhimu za kitaifa kama vile shughuli ya kuwasaijili wanachama wapya inayoendelea. Wakiongozwa na aliyekuwa mwakilishi wadi wa Tudor Tobias Samba, viongozi hao pia wamemtaka aliyekuwa gavana wa Mombasa Hassan Joho ambaye pia ni naibu kiongozi wa chama hicho kushiriki kikamilifu katika masuala ya chama hicho akisema kutokuwepo kwake kumedhoofisha umaarufu wa chama hicho katika eneo la pwani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive