Skip to main content
Skip to main content

Sifuna aponea kubanduliwa kama katibu mkuu ODM

  • | KBC Video
    599 views
    Duration: 2:40
    Edwin Sifuna amepata afueni baada ya jopo la kutatua mizozo ya vyama vya kisiasa kusitisha kuondolewa kwake kama katibu mkuu wa chama cha ODM. Jopo hilo pia ilisimamisha kuchapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali jina la mtu wa kuchukua wadhifa wa Sifuna hadi kesi ya kupinga hatua hiyo isikilizwe na mahakama tarehe 26 Februari. Hatua hiyo imejiri saa chache baada ya Sifuna kujitokeza kimasomaso akisema kwamba hang'atuki na kwamba yeye ndiye bado katibu mkuu aliyechaguliwa kihalali wa chama cha ODM. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive