Siha na Maumbile | Dalili na matibabu ya maradhi ya kifua kikuu (TB)

  • | Citizen TV
    433 views

    Ugonjwa wa TB bado ni changamoto Kwa mataifa mengi yanayoendelea huku takriban watu milioni kumi wakisemekana kuathirka na ugonjwa huo kote Ulimwenguni. Mojawapo ya mbinu zinazotumika kuelimisha watu ni kutoa hamasisho huku mwezi huu WA machi ukitengwa kuzidisha kampeni za kuangamiza ugonjwa huo.