Siha Na Maumbile | Makala yanaangazia ugonjwa wa malaria hapa nchini

  • | Citizen TV
    279 views

    Ugonjwa wa malaria bado ni tisho la Afya humu nchini huku asilimia 70 ya idadi ya watu wakiwa katika hatari ya maambukizi ya ugonjwa huo. Hii ikiwa ni pamoja na watu milioni 13 walio kwenye maeneo yanayoathirika zaidi na ugonjwa huu.