Siha na Maumbile | Matatizo ya homa ya manjano kwa watoto wachanga

  • | Citizen TV
    423 views

    Asilimia kubwa ya watoto wachanga hupata Homa ya manjano wanapozaliwa.Watoto njiti wanaozaliwa kabla ya siku kutimia wakiwa katika hatari zaidi za kupata Homa hii ambayo imeoneka kusababisha vifo vingi vya watoto wachanga ambavyo vingeweza kuepukika.