| SIHA NA MAUMBILE | Tatizo la majipu

  • | Citizen TV
    291 views

    Watu wengi wamewahi kupatwa na majipu kwa namna moja ama nyingine. Hali ambayo huleta usumbufu mwilini kutokana na dalili zinazoambatana na tatizo hili. Mwanahamisi hamadi alizungumza na afisa Tabibu wa kituo cha equity afia matuu Dennis H Ng'ang'a anayefafanua mengi kuhusiana na majipu zikiwemo dhana zinahusishwa na tatizo hilo.