| SIHA NA MAUMBILE | Ugonjwa wa Kiharusi au Stroke

  • | Citizen TV
    677 views

    Kwa miaka mingi, ugonjwa wa kiharusi unaojulikana kama stroke kiingereza umekuwa ukiripotiwa sana miongoni mwa watu wazima lakini Sasa Marika yote yameonekana kuwa katika hatari ya kupata ugonjwa huu. Mwanahamisi Hamadi alizungumza na Daktari Kikenyi Zayed wa kituo cha matibabu cha Equity Afya mwembe tayari huko Mombasa, na kuandaa mengi kuhusu tatizo Hilo kwenye makala ya siha na maumbile yanayofuta Sasa.