Siha na Maumbile | Ulimwengu juma hili umeadhimisha siku ya Selimundu

  • | Citizen TV
    1,093 views

    Ulimwengu juma hili umeadhimisha siku ya ugonjwa wa Selimundu huku mikakati ikiendelea kuwekwa kuhakikisha hamasisho ya kutosha inatolewa kwa wakenya. Na kwenye Makala ya siha na maumbile juma hili, Mwanahamisi Hamadi alizuru kituo cha matibabu cha equity afia kaunti ya Bungoma kutaka kujua mengi kuhusiana na ugonjwa huo