Siha na Maumbile | Umuhimu na hatari ya mafuta ya lehemu yaani 'cholestral' mwilini

  • | Citizen TV
    288 views

    Mbali na damu na maji ambayo ni muhimu katika mwili wa binadamu, mafuta yanayojulikana kama lehamu ama cholesterol kwa kiingereza pia yana umuhimu mkubwa katika kusaidia mwili kufanya kazi yake vyema.