Siha na Maumbile | Utunzaji wa sehemu za siri kwa wanawake

  • | Citizen TV
    885 views

    Utunzaji wa sehemu za uke ni jambo muhimu sana kwani Mbali na kumuepusha mwanamke na maradhi mbalimbali, uke wenye afya pia huchangia pakubwa mwanamke kujithamini na kujiamini.