Siha yangu: Hasara katika sekta ya afya

  • | K24 Video
    10 views

    Sekta ya afya hukadiria hasara ya mabilioni ya fedha kutokana na ufisadi na ubadhirifu wa rasilimali na katika makala ya leo ya siha yangu ubadhirifu huu umejitokeza katika bima ya sasa ya afya ya SHIF ambayo imeendelea kukumbwa na changamoto za usajili ikikosesha wakenya nafasi za kutafuta amatibabu.