Skip to main content
Skip to main content

Siku 10 za mwisho za Ramadhani zimefika

  • | BBC Swahili
    14,349 views
    Duration: 2:03
    Hizi ndizo siku zenye baraka kubwa zaidi katika mwezi mzima. Ndani ya siku hizi kuna usiku unaoitwa Laylatul Qadr, ambao Qur’an tukufu inaeleza kuwa ni bora kuliko miezi elfu moja. Hii ina maana ya kuwa ibada ya usiku mmoja inaweza kuwa na thamani ya zaidi ya miaka 80 ya ibada. Kwa hiyo, unapaswa kufanya nini katika siku hizi za mwisho? Nasteha Mohamed na taarifa hii: - - #bbcswahili #tanzaniantiktok #ramadhan #kenyatiktok #uislamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw