Skip to main content
Skip to main content

Siku 100 za Rais Samia madarakani

  • | BBC Swahili
    739 views
    Duration: 1:44
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametimiza siku 100 ofisini tangu aanze muhula wake wa pili na wa mwisho, pamoja na mambo mengine, aliahidi kuliponya taifa baada ya ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. - - #bbcswahili #samia #uchaguzi2025 #Uongozi #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw