Siku saba za mapigano kati ya Israel na Hamas kwenye Ukanda wa Gaza

  • | VOA Swahili
    37,778 views
    Maelfu na maelfu ya wapalestina walikua wanakimbia kutoka makazi yao kaskazini mwa Gaza baada ya Israel kuwaonya kuondoka katika muda wa saa 24 kabla ya uvamizi wa nchi kavu, hatua iliyokosolewa kote duniani.