Siku ya afya ulimwenguni yaadhimishwa huku janga la korona likitatiza utoaji huduma za afya

  • | KBC Video
    Siku ya afya ulimwenguni iliadhimishwa leo huku miito ikitolewa ya kushughulikia tatizo la ukosefu wa usawa kwenye juhudi za utoaji huduma bora za afya kwa wote. Kwa mujibu wa shirika la afya ulimwenguni, janga la Covid-19 limetatiza juhudi za utoaji huduma za afya kwa jamii zisizoweza kujimudu. Shirika hilo limeyataka mataifa kulainisha usawa kwenye juhudi za kushughulikia janga la COVID-19, kuwekza kwenye afya ya kimsingi na kuzikinga jamii husika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive