Siku ya Elimu kwa Wanachama wa Hazina I Viongozi wahimizwa kutunza fedha za wanachama

  • | KBC Video
    288 views

    Viongozi wa vyama vya Ushirika waliochaguliwa wamehimizwa kutunza vyema fedha za wanachama wa vyama hivyo vya akiba na mikopo ili kudumisha imani ya wanachama na kuhakikisha ustawi wa vyama hivyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive