Siku ya elimu shuleni

  • | KBC Video
    4 views

    Mwakilishi wadi ya Kaputiei kaskazini Joseph Oluwasa ametoa wito kwa wazazi kutenga muda wa kuwatembelea wanao shuleni ili kuelewa changamoto wanazopitia na kutathmini viwango vya elimu yao. Wakiongea wakati wa hafla ya siku ya elimu ya wanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Merishaw ,Wazazi waliowatembelea wanao shuleni humo walipongeza hatua ya wakuu wa shule hiyo ya kuwapa fursa ya kutangamana na walimu na wanafunzi wao kwa lengo la kuinua viwango vya matokeo ya mitihani ya kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive