Siku ya kimataifa ya watoto wanaorandaranda mitaani yaadhimishwa

  • | KBC Video
    13 views

    Maelfu ya watoto wanaorandaranda mitaani kutoka miji mbali mbali ya nchi hii walialikwa kwa dhifa na kushauriwa walipoadhimisha siku ya kimataifa ya watoto wanaorandaranda mitaani ambayo huadhimishwa tarehe 12 mwezi aprili kila mwaka.Lengo la maadhimisho ya siku hii ni kuangazia changamoto zinazowakumba watoto hao na kuhimiza watendewe haki sawa kama watoto wengine. Mwanahabari wetu Fredrick Parsayo anatuarifu kwamba siku hii hutambua maisha ya watoto wanaorandaranda mitaani na kuhimiza haki zao ziheshimiwe..

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News