Siku ya kimatifa ya wakongwe yaadhimishwa

  • | KBC Video
    5 views

    Huku WaKenya wakiungana na ulimwengu mzima katika maadhimisho ya siku ya kimatifa ya wakongwe, wadau katika kaunti ya Kisii wanataka heshima kudumishwa na kukomeshwa kwa maovu ambayo mara kwa mara huelekezewa wakongwe. Wadau hao kutoka serikali ya kitaifa, makundi ya kijamii na pia wanaharakati wa maswala ya Jinsia walilaani matendo ya ghasia na tabia mbovu zinazoletea wakongwe mateso ya aina yoyote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #WorldElderlyDay #elderly