Siku ya kina mama yaadhimishwa ulimwenguni

  • | KBC Video
    75 views

    Huambwa kuwa mama ni mama hata kama ni rikwama. Jumapili ya leo, kurunzi ilielekezwa kwa kina mama huku taifa hili likiungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya kimataifa kwa kina mama. Makanisa mbalimbali yalisherehekea kina mama kutokana na wajibu wao kama walimu wa kwanza wanaotambuliwa kwa kukuza, kuelekeza na kujitolea kwa udi na uvumba huku wakisawazisha majukumu hayo na taaluma zao, familia na uhusiano. Ripota wetu Nancy Okware, anaangazia kwa kina taarifa hii jinsi wakenya walivyowaenzi kina mama, ambao ghalibu ushujaa wao hauthaminiwi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive