Siku ya Kupinga Sigara: Nairobi na Mombasa zaongoza kwa waraibu wa sigara

  • | Citizen TV
    1,140 views

    Maadhimisho dhidi ya uvutaji sigara duniani yanafanyika leo kisiwani Mombasa. Hamasisho la mwaka huu linalenga kuwakinga watoto dhidi ya uvutaji sigara huku kaunti za Nairobi Na mombasa zikiongoza kwa idadi ya waraibu wa uvutaji sigara. Francis Mtalaki anahudhuria maadhimisho hayo katika shule ya Khadija eneo bunge la nyali