Siku ya kutokomeza nasuri (Fistula) duniani yaadhimishwa Kisii

  • | Citizen TV
    290 views

    Siku Ya Kutokomeza Nasuri Duniani Unfpa: Wanawake 3,000 Huathirika Nchini Kila Mwaka Unyanyapaa Na Gharama Ya Matibabu Ni Vikwazo Vikubwa Ulimwengu Unaadhimisha Siku Ya Uhamasisho Kuhusu Nasuri Nasuri Ni Tundu Linalotokea Katika Misuli Kati Ya Uke Na Kibofu Nasuri Pia Inaweza Kutokea Kati Ya Uke Na Sehemu Nyingine