Siku Ya Malaria Duniani: Serikali kuweka mikakati kuzuia maambukizi

  • | KBC Video
    14 views

    Usajili wa wanachama chini ya halmashauri mpya ya afya ya jamii utaanza mnamo tarehe mosi mwezi Julai mwaka huu. Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema sheria mpya za afya zinajumuisha mbinu za kuimarisha chanjo dhidi ya magonjwa ambayo yapo lakini katika maeneo fulani kama vile Malaria. Aliyasema hayo wakati wa kuadhimisha siku ya Malaria duniani katika kaunti ya Kisumu. Wycliffe Oketch na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive