Siku ya mama duniani yaadhimishwa kwa njia tofauti

  • | K24 Video
    13 views

    Shule ya upili ya wasichana ya Ruth Kiptui katika kaunti ya Baringo imechanga zaidi ya shilingi milioni moja itakayofadhili wanafunzi 60. Mchango huo uliowashirikisha wazazi, walimu, viongozi tofauti na wanafunzi ulifanyika wakati wa kuadhimisha siku ya mama duniani. Mpango huo unatarajiwa kusaidia watoto wa familia zisizojiweza katika eneo hilo.