Siku ya mtoto mwafrika yaadhimishwa Nakuru

  • | Citizen TV
    181 views

    Kila tarehe kumi na sita mwezi wa sita kila mwaka, dunia husherekea siku ya mtoto mwafrika. hii Leo sherehe hizo katika kaunti ya Nakuru zinafanyika katika kaunti ndogo ya Njoro. maaudhui ya mwaka huu ni haki za mtoto katika mazingira ya kidigitali.