Siku ya mtoto wa Kike duniani
Ni siku ya mtoto msichana duniani na tunazungumza na bi Fatuma Mohammed msimamizi wa shirika la kutetea haki za wanawake na vijana jijini Nairobi nchini Kenya lijulikanalo kama (WOYEPA).
-
Bi Fatuma amebuni mbinu ya kuokoa wasichana kutoka ndoa za mapema na dhuluma za kingono katika jamii ya Somali humu nchini na hata wasichana wakimbizi wanaotoka nchi jirani ya Somalia.
-
Bi Fatuma ameokoa zaidi ya wasichana 450 tangu mwaka 2016. Mwanahabari Isabella Mwagodi alizungumza naye, na alianza kwa kumuliza katika miaka 10 ambayo ameokoa wasichana kutoka kwa dhuluma mbalimbali kuna lolote la kusherekea katika siku hii?
-
-
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Kenya is currently looking for investors in its aging electrical infrastructure.
15 May 2025
- Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
15 May 2025
- On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
15 May 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has unveiled his much-anticipated political outfit, the Democracy for the Citizens Party (DCP).
15 May 2025
- The petition, filed as Bench Petition No. E565 of 2024, was scheduled for May 15, 2025.
15 May 2025
- Kenya is currently looking for investors in its aging electrical infrastructure.
15 May 2025
- Nandi County Senator Samson Cherargei has opined that Kenya's opposition's expected launch of a new political faction will not successfully topple President William Ruto from power.
15 May 2025
- Kenya is among 59 nations that are expected to benefit from the deal.
15 May 2025
- On Wednesday, Nairobi County shut down the freemasons church over land rate arrears.
15 May 2025
- Two Kenyan voters are seeking interim conservatory orders to suspend any consideration, vetting, or approval of the seven nominees by the National Assembly.
15 May 2025
- The man argued that the constitutional changes would improve executive stability and enhance institutional coherence.
15 May 2025
- Some of the goons who were cornered during the ensuing melee were assaulted even as party officials were whisked to safety.
15 May 2025
- Lawmakers in the United States Senate are questioning Kenya’s loyalty to America following President William Ruto’s recent trip to China.