Siku ya mwanamke wa kijijini: Wanawake wanaolima mwani Mombasa.

  • | VOA Swahili
    Wakati duniani ikiadhimisha siku ya mwanamke wa kijijini Mwanahabari wetu Amina Chombo anaangazia wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha mwani Mombasa.