Siku ya punda duniani

  • | Citizen TV
    830 views

    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya punda, zaidi ya punda watano huripotiwa kupata vidonda vya mwili na kuvunjika miguu kila wiki katika eneo la Manda kaunti ya Lamu. Hii ni kutokana na kubebeshwa mizigo mizito na kupigwa.