Siku ya Twiga Duniani yaadhimishwa

  • | KBC Video
    3 views

    UHIFADHI WA TWIGA

    Siku ya Twiga Duniani yaadhimishwa

    Wakenya wamehimizwa kuwalinda Twiga, ambao wametambuliwa kuwa spishi iliyo kwenye hatari ya kutokomea. Haya yalijitokeza wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Twiga katika makao makuu ya huduma za wanyamapori KWS mtaani Lang'ata Nairobi, huku wadau wakitoa wito wa hatua kuchukuliwa kuzuia uwindaji haramu.

    #DarubiniWikendi

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive