Siku ya wajane yaadhimishwa eneo la Tana River

  • | Citizen TV
    118 views

    Unyanyapaa dhidi ya wajane ni mojawapo za changamoto zinazosababisha wengi wao kuishi katika mazingira magumu yanayosababisha umasikini kukithiri miongoni mwao. Mashirika tofauti katika kaunti ya TaitaTaveta sasa yanatafuta mbinu za kuwainua wajane siku hii ambapo wajane wanatambuliwa ulimwenguni.Kulingana na sensa ya mwaka 2019, kuna wajane zaidi ya wajane milioni moja nchini, eneo la pwani likiwa na wajane elfu 88,833 huku 75,000 kati yao wakiishi katika hali ya uchochole. Keith simiyu anaungana nasi mubashara kutoka voi kwenye maadhimisho ya siku ya wajane.