Siku ya Walemavu : Walemavu wengi wasema hawana la kujivunia kwani wametelekezwa

  • | NTV Video
    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wanaoishi na ulemavu, walemavu wengi nchini wanasema hawana la kujivunia kwani sera zinazobuniwa nchini zinawatelekeza. Wakati huohuo naibu rais amewatia moyo walemavu akisema serikali imetenga shilingi bilioni arobaini na mbili kushughulikia matakwa yao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya