Siku ya walemavu yaadhimishwa katika eneo la West Pokot

  • | Citizen TV
    145 views

    Waziri wa leba Florence Bore ametangaza kuwa wizara yake itashughulikia swala la unyanyapaa miongoni mwa walemavu kote nchini ili kuleta usawa katika jamii