Siku za mwizi ni 40 | Washukiwa wa wizi wa ng'ombe wateketezwa Kirinyaga

  • | KBC Video
    27 views

    Washukiwa wawili wa uhalifu walichomwa pamoja na gari lao na wakaazi waliojawa ghadhabu katika kaunti ya Kirinyaga baada ya kunaswa wakiwasafirisha ng’ómbe kwa gari la kibinafsi. Wakaazi hao ambao walipata taarifa kuwahusu Jumatatu usiku, waliwasaka washukiwa hao kufuatia kuibwa kwa ng’ombe wanne kutoka eneo la Murinduko. Kwengineko polisi waliwakamata washukiwa 6 ambao wanadaiwa kuhusika kwa kutekeleza uhalifu jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #wizi #News #uhalifu