Silas Senchura atwaa ushindi wa mita 10,000 kwenye fainali za kitaifa

  • | NTV Video
    254 views

    Silas Senchura kutoka timu ya polisi alitawala fainali ya mbio za mita 10,000, akitwaa ushindi katika siku ya mwisho ya mashindano ya kitaifa ya riadha yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa ulinzi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya