Simba 10 wauawa Kenya kattika ongezeko la migogoro kati ya binadamu na wanyamapori

  • | VOA Swahili
    118 views
    Mapambano ya kugombea rasilmali kati ya binadamu na wanyama yanajitokeza kila siku. Je, nini matokeo yake? Sikiliza uchambuzi wa mkazi wa eneo ambalo simba wanaingia katika maeneo ya shughuli za wakulima, akieleza sababu zilizopelekea kusababisha migogoro kati ya binadamu na wanyama. #simba #wanyama #binadamu #rasilmali #mvutano #wakulima #mgogoro #kenya #mbugazawanyama - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.