- 7,144 viewsDuration: 1:30Dabi ya Kariakoo kati ya Klabu ya Simba na Yanga SC wanakutana leo Mei 3 ikiwa ni siku chache tu zimepita baada ya Simba kuifunga Yanga bao moja kwa bila kwenye mchuano wa fainali ya kombe la Muungano. Je nani ataibuka mbabe wa Dabi leo? @loko_omi na taarifa zaidi 🎥 @frankmavura #bbcswahili #simba #yanga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw