Simba kumenyana dhidi ya Yanga katika dabi ya Kariakoo,nani atatamba? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    24,311 views
    Hatimaye dabi ya Kariako yenye uhasama mkubwa katika ligi kuu ya soka nchini Tanzania baina ya Simba Sports Club dhidi ya Young Africans litapigwa hapo kesho siku ya Jumatano katika uwanja wa Mkapa jijini Daresalaam. Mshindi wa mechi hiyo atanyakuwa ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Tanzania msimu huu. Je Yanga atatetea ubingwa wake ama Simba watakitia kitumbua mchanga waibamize Yanga?