Simiu Ebenyo na Sheila Chelangat washinda Mbio za Nyika za Polisi 2023

  • | NTV Video
    64 views

    Bingwa wa mbio za Nyika duniani wa mwaka 2023 Daniel Simiu Ebenyo na Sheila Chelangat ndio washindi wa mbio za Nyika za idara ya polisi zilizofanyika katika uwanja wa Ngong' Racecourse hapa jijini Nairobi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya