'Sina hisia, lakini Jane hakuniangalia kama mzigo'

  • | BBC Swahili
    18,341 views
    Kwa miaka 11 sasa, Brian Waihenya amekuwa akitumia kiti mwendo baada ya kupata ajali mbaya ya gari iliyoumiza uti wa mgongo na kumbadilishia kabisa mwelekeo wa maisha. Mke wake Jane Karumbi alimkubali na kumuonesha mapenzi bila kujali hali yake ya ulemavu. Lakini je walikutana wapi na ilikuwa rahisi kiasi gani kwa wazazi na jamii kuwaelewa ? Wameongea na mwandishi wa BBC Hamida Abubakar. #bbcswahili #kenya #ulemavu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw