"Sina mawasiliano na mwanangu mtanzania aliyepo Israel tangu mashambulizi ya Hamas"

  • | BBC Swahili
    1,114 views
    ''Kwa kweli sina furaha kabisa,” Loitu Mollel ambaye ni baba mzazi wa Joshua, raia wa Tanzania aliyepo nchini Israel ameiambia BBC Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw #tanzania #gaza #israel #vita