"Sisi tunavyofanya huu mchezo, kuna burudani tunaipata, tunahisi amani"

  • | BBC Swahili
    526 views
    Sultan Ally @sultani_ak47 ni mtaalamu wa aina mojawapo ya sarakasi za kutumia mwili inayojulikana kama kunyumbulisha mwili (contortion) ambapo anauwezo wa kukunja mwili wake katika maumbo tofauti kama nyoka, ng'e au kukaa kama nyani. Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikutana Sultan pamoja na mtaalamu mwingine wa sarakasi za Kubebana @bigshebby ambao wanaelezea kwa kina sarakasi hizi, hatari iliyopo na namna wanavyozuia hatari. Tahadhari: Sarakasi hizi hufanywa na wataalamu usijaribu. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #sarakasi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw