"Siwezi kuacha kuzungumza kama watu wanatekwa" Gwajima.

  • | BBC Swahili
    2,471 views
    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, amesema haogopi kuzungumzia utekaji nchini humo. Kauli hiyo imekuja baada ya kutoa hoja ya kupinga vitendo vya utekaji mwishoni mwa Mei kisha kukosolewa na watu mbalimbali wakiwemo wabunge wenzake.