- 14,985 viewsDuration: 1:36Kwa wanawake katika jimbo la Askira Uba nchini Nigeria, matumizi ya baiskeli ni muhimu na ni moja ya mila za ndoa. wachumba wanatakiwa kuwapatia wachumba wao wa kike baiskeli kama ishara ya kujitolea na utayari. Mwandishi wa BBC, Ayuba Iliya @ay_iliya alizungumza na wakazi wa eneo hilo #bbcswahili #wanawake #familia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw