- 85 viewsDuration: 53sMabingwa wa Ligi Kuu mwaka wa 2009, Sofapaka, wamepoteza mechi yao ya nane mfululizo baada ya kulazwa moja bila na Nairobi United kwenye mechi ya mapema leo uwanjani Kasarani Annex. Watoto ba Mungu wanavuta mkia wakiwa na alama 14 pekee.