Soipan : Tunalenga kupanda miti bilioni 15 kwa miaka kumi

  • | KBC Video
    8 views

    Soipan : Tumetarajia kupanda zaidi ya miche milioni 150. Tunalenga kupanda miti bilioni 15 kwa miaka kumi, tunafaa kupanda miche bilioni 1.5 kila mwaka.