Soka ya shule za upili: Highway na Kiringari watoka sare katika mashindano ya shule za upili

  • | NTV Video
    64 views

    Mabingwa watetezi katika mchezo wa soka ya shule za upili, Highway kutoka Nairobi, wametoka sare mabao 3-3 dhidi ya Kiringari kutoka Embu kwenye mechi yao ya pili ya makundi ya mashindano ya shule za upili yanayoendelea Kaunti ya Kakamega.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya